HUKUMU ZA KIFIKIHI ZINAZOWAHUSU WANAWAKE

HUKUMU ZA KIFIKIHI ZINAZOWAHUSU WANAWAKE

HUKUMU ZA KIFIKIHI ZINAZOWAHUSU WANAWAKE

Interpreter :

Ukhti Maysarah Ali

Publication year :

2009

Number of volumes :

10000

Publish number :

Toleo la kwanza

Publish location :

Dar es Salaam, Tanzania

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

HUKUMU ZA KIFIKIHI ZINAZOWAHUSU WANAWAKE

Kitabu hiki kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kitabu cha Kiarabu kiitwacho, Fiqhu ‘l-Fatayaat kilichoandikwa na Mustafa Ranjbar wa Kitengo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran . Kitabu hiki chenye manufaa sana kinahudumia mahitaji ya wajibu wa dini ya Kiislamu ya mwanamke kuhusiana na vipindi vyake vya kila mwezi. Baadhi ya mas’ala na hukumu za kuhudumia maiti ni makala muhimu zilizoongezwa kwenye kitabu hiki. Sharia na kanuni zilizowekwa na Uislamu kwa ajili ya namna ya maisha ya usafi iliyodhibitiwa ni wajibu kwa kila Mwislamu kujifunza na kuzipandikiza ndani ya nafsi yake. Hili ni dhahiri kabisa kwamba litamwezesha yeye kudumu ndani ya mipaka ya mahitaji ya kisharia yaliyowekwa. Shukrani zetu nyingi zimwendee ndugu yetu Ukhti Maysara Ali kwa kazi yake ya kutarjumi kitabu hiki. Vilevile shukrani zetu kwa wale wote waliochangia kwa njia moja au nyingine kwenye kufanikisha kukamilika kwa kazi hii tukufu.