Juzuu 03 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 03 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 03 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Publication year :

2022

Publish location :

Qom Iran

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Juzuu 03 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, Juzuu ya Tatu imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya  Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu Khasa mashia katika Uwanja huu wa Qur'an na elimu za Qur'an Sura za Juzuu tatu:-

  1. Suratul-Baqarah kuanzia Aya ya 253 mapaka mwisho
  2. Suratu Aal-Emran kuanzia Aya ya 1 Mpaka Aya ya 91
Mwenyezi Mungu awalipe kheri wote walioshiriki katika kutimiza kazi hii.