Juzuu 05 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 05 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 05 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Publication year :

2022

Publish location :

Qom Iran

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Juzuu 05 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, Juzuu ya Tano imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya  Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu Khasa mashia katika Uwanja huu wa Qur'an na elimu za Qur'an Sura za Juzuu ya tano:-

  1. Suratu-An-Nisaa kuanzia Aya ya 24 mpaka Aya ya 147
Mwenyezi Mungu awalipe kheri wote walioshiriki katika kutimiza kazi hii.