Juzuu 06 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 06 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 06 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Publication year :

2022

Publish location :

Qom Iran

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Juzuu 06 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, Juzuu ya Sita  imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya  Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu Khasa mashia katika Uwanja huu wa Qur'an na elimu za Qur'an Sura za Juzuu ya sita:-

  1. Suratu-An-Nisaa kuanzia Aya ya 148 mapaka Mwisho
  2. Suratul-Maidah kuanzia Aya 1 mpaka Aya ya 81
Mwenyezi Mungu awalipe kheri wote walioshiriki katika kutimiza kazi hii.