Juzuu 10 Tarjuma ya Qur'an tukufu
Juzuu 10 Tarjuma ya Qur'an tukufu
Author :
Publisher :
Publication year :
2022
Publish location :
Qom Iran
(0 Kura)
(0 Kura)
Juzuu 10 Tarjuma ya Qur'an tukufu
Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, Juzuu ya Kumi imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu Khasa mashia katika Uwanja huu wa Qur'an na elimu za Qur'an Sura za Juzuu ya kumi:-
- Suratul-Anfal kunzia aya ya 41 hadi aya ya 75
- Surat aTauba kunzia aya ya 1 hadi aya ya 92