Juzuu 11 Tarjuma ya Qur'an tukufu
Juzuu 11 Tarjuma ya Qur'an tukufu
Author :
Publisher :
Publication year :
2022
Publish location :
Qom Iran
(0 Kura)
(0 Kura)
Juzuu 11 Tarjuma ya Qur'an tukufu
Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, Juzuu ya Kumi na moja imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu Khasa mashia katika Uwanja huu wa Qur'an na elimu za Qur'an Sura za Juzuu ya kumi na moja:-
- Surat Tauba kuanzia aya ya 93 hadi aya ya 129
- Surat Yunus kuanzia aya ya wa 1 hadi aya ya109 (kamili)
- Surat Huud kuanzia aya ya 1 hadi aya ya 5