Juzuu 12 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 12 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 12 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Publication year :

2022

Publish location :

Qom Iran

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Juzuu 12 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, Juzuu  ya Kumi na mbili imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya  Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu Khasa mashia katika Uwanja huu wa Qur'an na elimu za Qur'an Sura za Juzuu ya kumi na mbili:-

  1. Surat Huud kuanzia aya ya 6 hadi aya ya 123
  2. Surat Yusufu kuanzia aya ya 1 hadi aya ya 52
Mwenyezi Mungu awalipe kheri wote walioshiriki katika kutimiza kazi hii.