Juzuu 13 Tarjuma ya Qur'an tukufu
Juzuu 13 Tarjuma ya Qur'an tukufu
Author :
Publisher :
Publication year :
2022
Publish location :
Qom Iran
(0 Kura)
(0 Kura)
Juzuu 13 Tarjuma ya Qur'an tukufu
Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, Juzuu ya Kumi na tatu imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu Khasa mashia katika Uwanja huu wa Qur'an na elimu za Qur'an Sura za Juzuu ya kumi na tatu:-
- Surat Yusuf kuanzia aya ya 53 hadi aya ya 111
- Surat Al-Ra'ad kuanzia aya ya 1 hadi aya ya43 (kamili)
- Surat Ibrahimu kuanzia aya ya 1 hadi aya ya52 (kamili)