Juzuu 15 Tarjuma ya Qur'an tukufu
Juzuu 15 Tarjuma ya Qur'an tukufu
(0 Kura)
(0 Kura)
Juzuu 15 Tarjuma ya Qur'an tukufu
Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, Juzuu ya Kumi na tano imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu Khasa mashia katika Uwanja huu wa Qur'an na elimu za Qur'an Sura za Juzuu ya kumi na tano:-
- Suratul-Isra ' kuanzia aya ya 1 hadi aya ya 111 (kamili)
- Suratul-Kahf kuanzia aya ya 1 hadi aya ya 74