Juzuu 18 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 18 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 18 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Publication year :

2022

Publish location :

Qom Iran

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Juzuu 18 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, Juzuu  ya Kumi na nane imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya  Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu Khasa mashia katika Uwanja huu wa Qur'an na elimu za Qur'an Sura za Juzuu ya kumi na nane:-

  1. Suratul-Mu'minin kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 118 (kamili)
  2. Surat AnNuur kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 64 (kamili)
  3. Suratul-Furqan kuanzia Aya ya 1 hadi  Aya ya 20.
Mwenyezi Mungu awalipe kheri wote walioshiriki katika kutimiza kazi hii.