Juzuu 19 Tarjuma ya Qur'an tukufu
Juzuu 19 Tarjuma ya Qur'an tukufu
Author :
Publisher :
Publication year :
2022
Publish location :
Qom Iran
(0 Kura)
(0 Kura)
Juzuu 19 Tarjuma ya Qur'an tukufu
Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, Juzuu ya Kumi na tisa imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu Khasa mashia katika Uwanja huu wa Qur'an na elimu za Qur'an Sura za Juzuu ya kumi na tisa:-
- Al-Furqan kuanzia Aya ya 21 hadi Aya ya 77
- Surat Ashua'raa kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya227 (kamili)
- Surat AnNiml kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 55.