Juzuu 20 Tarjuma ya Qur'an tukufu
Juzuu 20 Tarjuma ya Qur'an tukufu
Author :
Publisher :
Publication year :
2022
Publish location :
Qom Iran
(0 Kura)
(0 Kura)
Juzuu 20 Tarjuma ya Qur'an tukufu
Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, Juzuu ya Ishirini imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu Khasa mashia katika Uwanja huu wa Qur'an na elimu za Qur'an Sura za Juzuu ya ishirini
- Surat AnNaml kuanzia aya ya 56 hadi aya ya 93
- Suratul-qaswas kuanzia aya ya 1 hadi 88 (kamili)
- Suratul-A'nkabut kuanzia aya ya 1 hadi aya ya 45