Juzuu 21 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 21 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 21 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Publication year :

2022

Publish location :

Qom Iran

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Juzuu 21 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, Juzuu ya Ishirini na moja imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya  Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu Khasa mashia katika Uwanja huu wa Qur'an na elimu za Qur'an Sura za Juzuu ya Ishirini na moja:-

  1. Suratul-A'nkabut kuanzia Aya ya 46 hadi Aya ya 69
  2. Surat ArRum kutoka Aya 1 hadi 60 (kamili)
  3. Surat Luqman kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 34 (kamili)
  4. Surat Sajdah kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 30 (kamili)
  5. Suratul-Ahzab kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 30.
Mwenyezi Mungu awalipe kheri wote walioshiriki katika kutimiza kazi hii