Juzuu 22 Tarjuma ya Qur'an tukufu
Juzuu 22 Tarjuma ya Qur'an tukufu
Author :
Publisher :
Publication year :
2022
Publish location :
Qom Iran
(0 Kura)
(0 Kura)
Juzuu 22 Tarjuma ya Qur'an tukufu
Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, Juzuu ya Ishirini na mbili imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu Khasa mashia katika Uwanja huu wa Qur'an na elimu za Qur'an Sura za Juzuu Ishirini na mbili:-
- Suratul-Ahzab kuanzia Aya ya 31 hadi Aya ya 73
- Surat Saba kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 54 (kamili)
- Suratul-Fatir kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 45 (kamili)
- Surat Yasin kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 27