Juzuu 23 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 23 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 23 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Publication year :

2022

Publish location :

Qom Iran

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Juzuu 23 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, Juzuu ya Ishirini na tatu imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya  Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu Khasa mashia katika Uwanja huu wa Qur'an na elimu za Qur'an Sura za Juzuu ya Ishirini na tatu:-

  1. Surat Yaasin kuanzia Aya ya 28 hadi Aya ya 83
  2. Surat ASafat kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 182 (kamili)
  3. Surat Swad. kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 88 (kamili)
  4. Surat Az-Zumar kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 31
Mwenyezi Mungu awalipe kheri wote walioshiriki katika kutimiza kazi hii