Juzuu 24 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 24 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 24 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Publication year :

2022

Publish location :

Qom Iran

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Juzuu 24 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, Juzuu ya Ishirini na nne imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya  Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu Khasa mashia katika Uwanja huu wa Qur'an na elimu za Qur'an Sura za Juzuu ya Ishirini na nne:-

  1. Surat Az-Zumar kuanzia aya ya 32 hadi aya ya 75
  2. Suratul-Ghafar kutoka aya ya 1 hadi aya ya 85 (kamili)
  3. Surat Fuswilat  kuanzia aya ya 1 hadi aya ya 46
Mwenyezi Mungu awalipe kheri wote walioshiriki katika kutimiza kazi hii