Juzuu 27 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 27 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Juzuu 27 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Publication year :

2022

Publish location :

Qom Iran

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Juzuu 27 Tarjuma ya Qur'an tukufu

Kitabu hiki ni Tarjuma ya Qur'an tukufu ambayo ni kazi ya Sheikh wetu Ali Juma Mayunga, Juzuu ya Ishirini na saba imechukuliwa na kupangwa katika App ya W0rd na Pdf na Taasisi ya  Islamic Sources, ili kukidhi haja ya Waislamu Khasa mashia katika Uwanja huu wa Qur'an na elimu za Qur'an Sura za Juzuu ya Ishirini na saba

  1. Surat d-Dhariyat kuanzia Aya ya 31 hadi Aya ya 60
  2. Surat t-Tuur kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 49 (kamili)
  3. Surat n-Najm kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 62 (kamili)
  4. Suratul-Qamar kuanzia Aya 1 hadi Aya ya 55 (kamili)
  5. Surat r-Rahman kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 78 (kamili)
  6. Suratul-Waqi ́ah kuanzia Aya ya 1 hadi 96 (kamili)
  7. Suratul-Hadid kuanzia Aya ya 1 hadi Aya ya 29 (kamili)
Mwenyezi Mungu awalipe kheri wote walioshiriki katika kutimiza kazi hii