mafunzo_150_kwa_maisha_bora

mafunzo_150_kwa_maisha_bora

mafunzo_150_kwa_maisha_bora

Interpreter :

Amiraly M.H. Datoo

Publish location :

Bukoba Tanzania

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

mafunzo_150_kwa_maisha_bora

Katika historia ya Dini ya Kislam na hususan Madhehebu ya Shi'a Ithna-Ashariyyah wamekuwapo na bado wapo Maulamaa ambao kwa hakika wametoa michango yao mikubwa katika kuuelemisha Ummah juu ya masuala mbalimbali yakiwemo ya kidunia, kijamii na kiroho vile vile. Ni matumaini yangu kuwa kitabu hiki kitakuwa ni mwongozo katika mwelekeo na mwenendo wa Kiislamu katika masuala mbalimbali ya humu duniani na kutufaidisha Aakhera. Kazi ya awali ilikuwa katika lugha ya Kiajemi ambayo ilitarjumiwa katika Kiingereza na Ndg. Munir Shafe'i na ndipo nilipotarjumia katika Kiswahili. Wabillahi tawfiq,