Mdahalo-baina-ya-mwanachuoni-wa-kisunni-na-wa-kishia
Mdahalo-baina-ya-mwanachuoni-wa-kisunni-na-wa-kishia
Interpreter :
Publisher :
Publication year :
2014
Publish location :
Dar es Salaam Tanzania
(0 Kura)
(0 Kura)
Mdahalo-baina-ya-mwanachuoni-wa-kisunni-na-wa-kishia
K itabu ulichokuwa nacho mikononi mwako ni mjadala uliofanyika baina ya mwanachuo wa Kisunni (Sheikh Salim bin al-Bisri al-Malik aliyekuwa Mkuu wa chuo Kikuu cha Al-Azhar - Misr) na mwanchuo wa Kishia (Sayyid Sharafu-ddin wa Lebanon) katika miaka ya 1329 A.H. Mjadala huu ulikuwa katika muundo wa barua.
Hiki ni kitabu kikubwa cha rejea ambacho ni kuzuri sana kwa wale wanaofa nya utafiti wa kisomi.
Sisi tumekiona kitabu hiki kuwa ni chenye manufaa sana husuan wakati huu ambao kuna propanganda nyingi za ndani na nje za kuwapotasha Waislamu ili wasifikie lengo lao la umoja.
Kutokana na ukweli huu, taasisi yetu ya Al-Itrah Foundation imeamua kukichapisha kitabu hiki kwa
madhumini yake yaleyale ya kuwahudumia waislamu hususan wazungumzaji wa Kiswahili.
Hii ni katika kazi kubwa zilizofanywa na Taasisi hii ya Al-Itrah. Tunawashukuru wale wote walioshiriki kwa njia moja au nyingine kuanzia kwa watarjuma na wengine hadi kufikia kuchapishwa kwa kitabu hiki. Allah (swt) awalipe kila la kheri hapa duniani na Akhera pia.