MTAZAMO WA UISLAMU JUU YA ELIMU

MTAZAMO WA UISLAMU JUU YA ELIMU

MTAZAMO WA UISLAMU JUU YA ELIMU

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

MTAZAMO WA UISLAMU JUU YA ELIMU

itabu hichi kimeandikwa na wanachuoni wa Madhehebu ya Kisunni, kwa hiyo yaliomo ndani ya kitabu hichi ni masuala ya kielimu yanayoendana na Madhehebu hayo, hivyo basi wafuasi wa madhehebu mengine wanatakiwa kusoma ili kufaidika zaidi, na hapa hakuna lengo la kutoa ushawishi wa aina yeyote ile. Na lengo hasa la kuweka kitabu hichi ni kutaka ndugu zetu wa Kisunni nao waweke makala na vitabu vyetu katika site zao bila ya kuvutia upande wowote, jambo ambalo litawasaidia ndugu zetu wa Madhehebu mengine kuzielewa itikadi zetu bila ya chuki ya aina yeyeote, jambo ambalo litasaidia katika kueneza elimu na tamaduni za Kiislamu.
Asanteni sana.