REHMA YA AJABU

REHMA YA AJABU

REHMA YA AJABU

Interpreter :

Ibrahimu H. Kabuga

Publisher :

Erkam Printhouse

Publication year :

2022

Publish location :

Istanbul, Turkey

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

REHMA YA AJABU

Tunahitajika kuziweka maishani mwetu tabia za kimaadili za Mtume (s.a.w) ili kulipa deni la shukrani zetu kwake na kuilinda imani yetu katika mazingira ya kiroho na kimaanawi. Kumtii Mwenyezi Mungu ndio jambo la kwanza kabisa; kisha hufuata utii na usikivu kwa Mtume (s.a.w) , ambaye ni fakhari ya milele ya ulimwengu, kwa sababu upendo na huruma yake kwa umma wake ni mkubwa sana kuliko ule wa mama kwa mwanaye