SAYYID WA VIJANA WA PEPONI

SAYYID WA VIJANA  WA PEPONI

SAYYID WA VIJANA WA PEPONI

Publication year :

1999

Number of volumes :

2000

Publish number :

Toleo la Pili

Publish location :

Dar es Salaam - Tanzania

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

SAYYID WA VIJANA WA PEPONI

Makala haya yaliyoandikwa na waandishi mbali mbali mashuhuri, yalikusanywa na kuchapishwa na Bilal Muslim Mission of Tanzania kama “Toleo Maalum la Muharram” la Sauti ya Bilal(Na. 2/3) Machi- Mei 1999 (Muharram 1420). Nakala zake zilisambazwa hapa Dar-es-Salaam, Morogoro, Mombasa na Zanzibar. Lakini matilaba yake ni makubwa na yenye kuendelea. Sasa Toleo hili linachapishwa tena kama kitabu kwa jina la “Sayyid wa Vijana wa Peponi”. Mtungaji na Watoaji wanamuomba Mwenyezi Mungu Subhanahu wa Ta’alakuikubali kazi yao hii ya kiroho na awape wasomaji wake Tawfeeq ya kupata faida kutokana na kijitabu hiki. Kwa hiyo, tunamuomba Subhanahu wa Ta’alaatuhesabu miongoni mwa wafuasi wema wa Imam Husayn (as.) katika Siku ya Mwisho.