Shahidi wa Mashhad Imamu Ali Al-ridha (a.s.)

Shahidi wa Mashhad Imamu Ali Al-ridha (a.s.)

Shahidi wa Mashhad Imamu Ali Al-ridha (a.s.)

Publication year :

2007

Number of volumes :

1000

Publish number :

Toleo la Pili

Publish location :

Dar es Salaam - Tanzania

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Shahidi wa Mashhad Imamu Ali Al-ridha (a.s.)

Kitabu hiki kiliandikwa kwa lugha ya Urdu na Mtukufu Sayyid al-Ulama Maulana Sayyid Ali Naqi Saheb, Mujtahid wa Chuo Kikuu cha Lucknow, Uhindi. Kimetafsiriwa kwa lugha ya Kiingereza na Sayyid Hashim Raza Rizvi, B.A., B.T., Yadgar-e-Husaini H.S., Allahabad, Uhindi na kutolewa na Imamia Mission, Lucknow U.P., Uhindi. Kimetafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kutoka hiyo tafsiri ya Kiingereza na na Marehemu Bwana L.W. Hamisi Kitumboy (aliyekuwa Mubaligh Mkaguzi wetu) na kikachekiwa na kusahihishwa na Mwalimu Dhikiri (Zakir Ali) U.M. Kiondo, Edita wa “Sauti ya Bilal”.