Ushindi Usiozuilika

Ushindi Usiozuilika

Ushindi Usiozuilika

Publication year :

1989

Publish location :

Dar es Salaam Tanzania

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Ushindi Usiozuilika

وَعَدَ اللَّهُ الَّذِينَ آمَنُوا مِنْكُمْ وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ لَيَسْتَخْلِفَنَّهُمْ فِي الْأَرْضِ كَمَا اسْتَخْلَفَ الَّذِينَ مِنْ قَبْلِهِمْ وَلَيُمَكِّنَنَّ لَهُمْ دِينَهُمُ الَّذِي ارْتَضَىٰ لَهُمْ وَلَيُبَدِّلَنَّهُمْ مِنْ بَعْدِ خَوْفِهِمْ أَمْنًا ۚ يَعْبُدُونَنِي لَا يُشْرِكُونَ بِي شَيْئًا ۚ وَمَنْ كَفَرَ بَعْدَ ذَٰلِكَ فَأُولَٰئِكَ هُمُ الْفَاسِقُونَ


َ“Mwenyezi Mungu Subhana amewaahidi wale walioamini miongoni mwenu na kufanya vitendo vizuri, ya kwamba hakika atawatawalisha na kuwafanya kuwa makhalifa katika ardhi kama alivyowatawalisha wale wa kale; na kwamba ataanzishia (simamishia) mathubutu ya dini yao iliyochaguliwa kwa ajili yao na Subhana. Na yeye atageuza (hali yao) baada ya kuishi kwa vitisho, kuelekea (kwenda) amani na usalama. Wao wataniabudu mimi (peke yangu) na hawatanishirikisha na chochote. Ikiwa yeyote atafisidi (geuza imani) baada ya kupata aliye ahidiwa basi yeye ni katika wahalifu na waovu, (Qur’ani tukufu: Surat Noor aya 55).