ANAYENGOJEWA IMAMU MUHAMMAD AL-MAHDI (a)

ANAYENGOJEWA IMAMU MUHAMMAD AL-MAHDI (a)
Author :
Interpreter :
Publisher :
Publication year :
2003
Publish number :
Chapa ya Nne
Publish location :
Dar es Salaam, Tanzania
Number of volumes :
1
(0 Kura)

(0 Kura)
ANAYENGOJEWA IMAMU MUHAMMAD AL-MAHDI (a)
Imam Muhammad al-Mahdi (a), Imamu wa Kumi na Mbili katika Uislamu wa Shia Kumi na Mbili, anachukuliwa na Waislamu wa Shia kuwa yu hai na yuko katika ghaiba, kumaanisha kuwa amefichwa machoni pa watu lakini bado anawaongoza wanadamu. Anaaminika kuwa ni Mahdi aliyetabiriwa, ambaye atarudi mwisho wa wakati ili kuleta amani na haki duniani.Kitabu hiki ni cha mwisho katika mfalulizo wetu huu wa maisha ya Watakatifu Kumi na Wanne wa jamii ya Mtukufu Mtume (s.a.w.), nacho kinahusu maisha ya Imamu wa Kumii na Mbili. Watu ambao ni vigumu sana kuwaelewa tuzionapo habari zao na hata tunapoonana nao jicho kwa jicho, hakika itakuwa vigumu zaidi kuwaelewa wanapokuwa hatuwaoni. Kitabu hiki hakikukusudiwa kwa wale wasioyaamini yale yasiyoonekana bali kwa wale wanaomwamini Mwenyezi Mungu Asiyeonekana.






