Falsafa-ya-mageuzi-ya-Imam-Husein
Falsafa-ya-mageuzi-ya-Imam-Husein
Author :
Interpreter :
Publisher :
Publication year :
2011
Publish location :
Dar es Salaam Tanzania
(0 Kura)
(0 Kura)
Falsafa-ya-mageuzi-ya-Imam-Husein
Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kitabu cha Kiingereza kiitwacho, Philosophy of Qayam-e-Hussain (a.s.) kilichoandikwa na Sayyid Jawad Naqvi. Sisi tumekiita, Falsafa ya Mageuzi ya Imam Husain (‘Alayhis ‘s-Salaam). Kitabu hiki kinaelezea falsafa ya mageuzi ya Imam Husain (‘Alayhi ‘s-Salaam). Mageuzi ya Imam Husain (‘Alayhis ‘s-Salaam). yalianzia mjini Madina na kukamilika tarehe 10 Muharram 61 Hijria katika ardhi ya Karbala. Mapambano haya ya mageuzi yalichukuwa takriban miezi sita, kuazia mwezi aliotoka Imam mjini Madina mpaka Makka na kuishia Karbala katika siku ya Ashura.Ujumbe wa Ashura na Karbala ni pigo kubwa kwa watawala madikiteta, wakandamizaji, madhalimu na mafisadi.