HIDAYA YA RAMADHAN

HIDAYA YA RAMADHAN

HIDAYA YA RAMADHAN

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

HIDAYA YA RAMADHAN

Kijitabu hiki kinazungumzia kufunga na kufungua katika mwezi mtukufu wa Ramadhani na vile Muislamu anatakiwa awe katika mwezi huu. Ewe msomaji, kitabu hiki kilichapishwa kwa mara ya kwanza tarehe 20 Juni 1981 /17 Shabani 1401 A.H baada ya ndugu yetu Ustadh Ductoor Abdulkadir Kadir Sudi kukusanya makala haya kutoka kwa gazeti letu lililokuwa likijulikana kwa Hidaya ya Ramadhani. Msomaji mtukufu katika cnapa hii ya pili, kuna baadhi ya milango imepunguzwa na mingine kujalizwa. Yote hayo ni kwa kutaka kumrahisishia msomaji. Ni matarajio ya yetu kuwa ndugu Waislamu watafaidika zaidi kwa yaliyomo kitabum, Insha-Allah.