IMANI YA KWEL IYAWATU WA AFRIKA

IMANI YA KWEL IYAWATU WA AFRIKA
Author :
Interpreter :
Publisher :
Publication year :
2008
(0 Kura)

(0 Kura)
IMANI YA KWEL IYAWATU WA AFRIKA
Hakika mimi nimeacha miongoni mwenu vitu viwili vizito, Kitabu cha Mwenyezi Mungu na kizazi changu Watu wa Nyumbani kwangu (Ahlul-Bait wangu), vitu ambavyo ikiwa mtashikamana navyo hamtapotea kamwe baada yangu na kwa hakika vitu viwili hivyo havitatengana :kamwe hadi vitakapo ingia kwangu kwenye Hodhi.Imepokelewa kwa mfumo ulio karibiana katika Sahihi
Muslim, juzu 7, ukurasa 122, Sunanud-daarimi, juzu 2 ukurasa 432, Musnad Ahmad, juzu 3, ukurasa 14,17,
26,59,na katika juzu 4, ukuras 366, 371, na juzu 5, ukurasa 182, Mustadrakul-haakim, juzu 3, ukurasa
109, 148, 533, na vyanzo vinginevyo. (Inapatikana katika vitabu Sahihi na Masaaniid)