Itambue Karbala

Itambue Karbala

Itambue Karbala

Interpreter :

Jopo la Wafasiri

Publication year :

2021

Publish location :

Tanzania Dar es salaam

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Itambue Karbala

Kitabu hiki kimetokana na makala zangu juu ya vipengele mbalimbali vya Msiba wa Karbala. Makala hizi zilizo nyingi zaidi ziliandikwa na mimi kabla sijakwenda Afrika na zilichapishwa kwenye majarida yatolewayo kila baada ya kipindi fulani ya India na Pakistan. Wakati ambapo iliasisiwa Hujjatul Islam Maulana Sayyid Ahmad Ali Abidi ambaye anaheshimika sana ni miongoni mwa wale wanazuoni wa zama zetu ambao, kwa kuzingatia akilini mahitaji ya kipindi kilichopo, wanatoa huduma isiyoweza kulinganishwa katika uwanja wa kutangaza dini. Rafiki huyu mwenye kuheshimiwa ni mmojawapo wa waasisi wa Noor-e-Islam Organization na mwenye msukumo mkubwa kwa taasisi hiyo. Taasisi hii  huchapisha vitabu juu ya masomo muhimu mbalimbali