MAADILI YA TABASAMU IMAM MUSA AL-KADHIM (A.S)

MAADILI YA TABASAMU IMAM MUSA AL-KADHIM (A.S)

MAADILI YA TABASAMU IMAM MUSA AL-KADHIM (A.S)

Publication year :

1986

Number of volumes :

20000

Publish number :

Toleo la kwanza

Publish location :

Dar es Salaam, Tanzania

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

MAADILI YA TABASAMU IMAM MUSA AL-KADHIM (A.S)

Ulimwengu unaugua kwa ajili ya mashirika ya vitisho. Ili kujiambatanisha na misingi ya ukweli na kuzitii kanuni za akili katika hali zo zote zile ziwazo, huonekana kuwa ni nguvu inayopita uwezo wa mwanadamu. Kujifunza maisha ya wale viongozi wa wanaadamu kama walivyowajibikiwa kukabiliana na upinzani mkali sana wa nguvu ya mabaya, katika njia yao ya kutimiza jukumu na imani yao, hakika kutakuwa na faida sana kwetu. Maimamu watokanao na Nyumba ya Mtukufu Mtume (s.a.w.w.) walitupa mifano hiyo na maisha ya Imamu Musa Kadhim (a.s.) ni mfano mmojawapo.