Mahdwiyat

Mahdwiyat
Author :
Publisher :
Publish number :
Toleo la kwanza
Publication year :
2008
Publish location :
Mumbai India
Number of volumes :
1
(0 Kura)

(0 Kura)
Mahdwiyat
Silabasi hii ya Tawhid imetengenezwa na taasisi ya Association of Imam Mahdi (a.s.) kwa ajili ya darasa zake za dini. Tumefanya juhudi kubwa kuhakikisha kwamba silabasi hii inaafikiana na Qur’an Tukufu, hadithi za Ahlul Bayt (a.s) na vitabu vya wanachuoni wenye kuheshimika wa Shia. Wakati ambapo tumejaribu kwa kadiri ya uwezo wetu kuifanya silabasi hii kuwa sahihi kwa kadiri inavyowezekana, tutashukuru kama wasomaji wetu watajitokeza mbele na ushauri wenye manufaa kwa ajili ya kuboresha silabasi hii na pia kuonesha mapungufu yetu.
Mwishoni, tunamuomba Allah, (swt), aharakishe kujitokeza tena kwa Hadhrat Imam Mahdi (a.t.f.s). Ajaalie atujumuisha nasi miongoni mwa masahaba waaminifu wa Imam (a.t.f.s). Atujaalie sisi ufanisi wa kutayarisha uwanja kwa ajili ya kujitokeza kwake tena mapema kwa Imam (a.t.f.s).