Mikingamo iliyomzunguka Imam Ali a s

Mikingamo iliyomzunguka Imam Ali a s

Mikingamo iliyomzunguka Imam Ali a s

Publication year :

2004

Publish location :

Dar es Salaam Tanzania

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Mikingamo iliyomzunguka Imam Ali a s

itabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kitabu cha Kiingereza, kwa jina la Polarization Around The Character of ‘Ali Ibn Abi Talib ambacho jina lake la asili ni, Jadhibah wa dafi‘ah-e ‘Ali ‘alayhi ’s-salam kilichoandikwa na Mwanachuoni mkubwa Marhum as-Sheikh Allamah Murtadha Mutahhari. Kitabu hiki kwa ufupi huelezea matatizo, misukosuko na mafanikio yaliyo ambatana na maisha ya Imam Ali (a.s).
Tumeona tukitoe kitabu hiki kwa lugha ya Kiswahili ili kizidishe mwanga wa elimu kwa Waislamu wazungumzaji wa Kiswahili, na hili likiwa ndilo lengo kubwa la Taasisi yetu ya Al-Itrah Foundation katika kuwahudumia Waislamu hususan wazungumzaji wa Kiswahili.
Tunamshukuru Ndugu yetu al-Akhy Ramadhani Kanju Shemahimbo kwa kukubali jukumu hili la kukifanyia taijuma kitabu hiki. Vile vile tunawashukum wale wote walioshiriki kwa njia moja au nyingine hadi kufanikisha kuchapishwa kwa kitabu hiki.
Ni matumaini yetu kwamba kitabu hiki kitakuwa ni mwanga kwa wasomaji wetu na kuzidisha upeo wao wa elimu katika dini.