MWANGA WA ELIMU IMAMU MUHAMMAD BAQIR (A.S.)

MWANGA WA ELIMU IMAMU MUHAMMAD BAQIR (A.S.)
Mwandishi :
Mtarjum :
Mchapishaji :
Mwaka wa uchapishaji :
2007
Idadi ya juzuu :
1000
Chapisha nambari :
Toleo la Pili
Eneo la uchapishaji :
Dar es Salaam - Tanzania
(0 Kura)

(0 Kura)
MWANGA WA ELIMU IMAMU MUHAMMAD BAQIR (A.S.)
Kitabu hiki kiliandikwa kwa lugha ya Urdu na Mtukufu Saiyadul Ulama Maulana Sayyid Ali Naqi Saheb, Mujtahid wa Chuo Kikuu cha Lucknow, Uhindi. Kimetafisirwa kwa lugha ya Kiingereza na Sayyid Hashim Raza Rizvi, B.A., B.T., Yadgar-e-Husaini, H.S., Allahabad, Uhindi, na kutolewa na Imamia Mission, Lucknow, U.P., Uhindi. Kimetafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kutoka hiyo tafsiri ya Kiingereza na Marehemu Bwana L.W. Hamisi Kitumboy (aliyekuwa Muballighi Mkaguzi wetu) na kikachekiwa na kusahihishwa na Mwalimu Dhikiri (Zakir Ali) U.M. Kiondo, Edita wa "Sauti ya Bilal".