ROHO YA MATUMAINI IMAM ALI AL-MURTAZA (A.S)

ROHO YA MATUMAINI IMAM ALI AL-MURTAZA (A.S)

ROHO YA MATUMAINI IMAM ALI AL-MURTAZA (A.S)

Interpreter :

Bwana J. J. Shou

Publication year :

2007

Number of volumes :

1000

Publish number :

Toleo ya Tatu

Publish location :

Dar es Salaam - Tanzania

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

ROHO YA MATUMAINI IMAM ALI AL-MURTAZA (A.S)

Kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha ya Urdu na Mtukufu Sayyid al-Ulama Maulana Sayyid Ali Naqi Saheb, Mujtahid wa Chuo Kikuu cha Lucknow, Uhindi. Kimetafsiriwa kwa lugha ya Kiingereza na Sayyid Hashim Riza Rizvi, B.A., B.T., Yadgar-e-Husaini H.S., Allahabad, Uhindi na kutolewa na Imamia Mission, Lucknow U.P., Uhindi. Kimetafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kutoka hiyo tafsiri ya Kiingereza na Bwana J. J. Shou wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Tanzania na kikachekiwa na kusahihishwa na Mwalimu Dhikiri (Zakir Ali) U.M. Kiondo, Edita wa “Sauti ya Bilal”.