Siku ya Qiyamah

Siku ya Qiyamah

Siku ya Qiyamah

Interpreter :

MUHAMMAD S. KANGU

Publication year :

2004

Publish location :

Tanzania Dar es salaam

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Siku ya Qiyamah

Kitabu kilichopo mikononi mwako ni tafsiri ya moja ya vitabu vya Al-Marhum Allamah Sayyid Saeed Akhtar Rizvi (r.a.). Kitabu hiki kimekuwa maarufu katika ulimwengu wa Ki-Islamu na kimechapishwa na Taasisi mbali mbali za ulimwengu pia imetafsiriwa kwa lugha ya Ki-Urdu, Ki-Hindi, Ki-Gujrati na sasa tafsiri ya Ki-Swahili kipo mikononi mwa wasomaji, iliotafsiriwa na Ndugu Dr. Muhammad Kanju kutoka asili yake ya lugha ya Kiingereza. Bilal Muslim Mission inatoa shukurani zake za dhati kwa wale wote ambao kwa juhudi zao kitabu hiki kinawafikia wasomaji wetu mikononi na wale wote wanaotuunga mkono kwa njia moja au nyingine katika kazi zetu za Tabligh, Tunamuomba Allah (s.w.t.) awalipe malipo mema hapa Duniani na baadaye huko, Akhera.