Tangazo la Ghadir

Tangazo la Ghadir

Tangazo la Ghadir

Publication year :

2003

Publish location :

Tanzania Dar es salaam

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Tangazo la Ghadir

Kitabu kilichopo mikononi mwako ni tafsiri ya kitabu cha Kiarabu kiitwacho A‘ilan-e-Rasmi fi Ghadir Khum kilichoandikwa na Ra’isu’l Muballighin Allamah Sayyid Saeed Akhtar Rizvi (r.a.) iliochapishwa Beirut, Lebanon. Ndani ya kitabu hiki Allamah ameeleza kuhusu Tangazo la mwisho na la ki-Historia ya Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w.) inayoeleza Ukhalifa na Uimamu wa Amir-ul-Momineen Imam Ali bin Abi Talib (a.s.). Kitabu hiki kimekua maarufu katika ulimwengu wa Ki-Islamu na ilitafsiriwa kwa lugha ya Ki-Urdu,Ki-Hindi, Ki-Gujrati na Ki-Bosnia. Sababu iliyoifanya Bilal Muslim Mission isimamie kazi hii ni kama zile za mwanzo, ambayo inatokana na maombi ya watu wengi kutoka Afrika ya Mashriki kututaka tukifasiri Tangazo hii muhimu la ki-Historia ya Mtukufu Mtume (s.a.w.w.) kwenye lugha ya Kiswahili. Mimi binafsi sikusita kumuomba ndugu yangu Sheikh Musabbah Shaban Mapinda kukitafsiri kitabu hiki katika lugha ya Kiswahili kutoka kwenye asili yake ya lugha ya Kiarabu. Namshukuru Shaikh Musabah kwa kukubali ombi langu na kuifanya kazi hii kwa moyo mmoja.