Ukristo na Uislam Maswali kuhusu Ukristo

Ukristo na Uislam Maswali kuhusu Ukristo
Interpreter :
Publisher :
Publication year :
1977
Publish location :
Dar es Salaam Tanzania
(0 Kura)

(0 Kura)
Ukristo na Uislam Maswali kuhusu Ukristo
Mengi ya maswali yaliyoandikwa kitabuni humu yamechukuliwa kutoka vikaratasi vifuatavyo ambavyo yilichapishwa na “Islami Mission” ya Sant Nagar, Lahore (Pakistan):-
1. Some Important Questions for the Christians on the Present Bible;
2. God-head of Jesus Christ P.B.U.H.;
3. The Holy Spirit or Ghost for the consideration of Christians;
4. Trinity;
5. Atonement; na
6. The Last Message.
Kwa kweli vikaratasi hivi vimetusaidia sana katika matayarisho ya maswali na majibu ya kitabu hiki.
Alhamdu-lilah.