Drawer trigger

UKWELI KATIKA MINYORORO (IMAMU ALI AN-NAQI A.S.)

UKWELI KATIKA MINYORORO (IMAMU ALI AN-NAQI A.S.)

UKWELI KATIKA MINYORORO (IMAMU ALI AN-NAQI A.S.)

Mwaka wa uchapishaji :

1990

Idadi ya juzuu :

2500

Chapisha nambari :

Toleo la Kwanza

Eneo la uchapishaji :

Dar es Salaam - Tanzania

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

UKWELI KATIKA MINYORORO (IMAMU ALI AN-NAQI A.S.)

Kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha ya Urdu na Mtukufu Sayyid al-Ulama Maulana Sayyid Ali Naqi Saheb, Mujtahid wa Chuo Kikuu cha Lucknow, Uhindi. Kimetafsiriwa kwa lugha ya Kiingereza na Sayyid Hashim Raza Rizvi, B.A., B.T., Yadgar-e-Husaini H.S., Allahabad, Uhindi na kutolewa na Imamia Mission, Lucknow U.P., Uhindi. Kimetafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili kutoka hiyo tafsiri ya Kiingereza na Bwana J. J. Shou wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Tanzania na kikachekiwa na kusahihishwa na Mwalimu Dhikiri (Zakir Ali) U.M. Kiondo, Edita wa “Sauti ya Bilal”.