Usafi wa Mwili na Utakaso wa Roho

Usafi wa Mwili na Utakaso wa Roho

Usafi wa Mwili na Utakaso wa Roho

Interpreter :

Mohammad Said Kanju

Publication year :

2003

Publish location :

Dar es salaam Tanzania

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Usafi wa Mwili na Utakaso wa Roho

Kitabu kilochopo mikononi mwako ni tafsiri ya kitabu cha kiingreza kiitwacho The Ritual & Spiritual Purity kilichoandikwa na mwanachuoni maarufu Hujjatul Islam wal Muslimeen Al-Haj Sayyid Muhammad Rizvi wa Toronto, Kanada. Katika Sura tano za mwanzo za kitabu hiki Mwandishi hakueleza tu hukumu na taratibu za kujitoharisha kiibada katika lugha nyepesi, bali vile vile amewazoesha wasomaji vyanzo vinavyotumiwa na Mujtahid katika kufikia uamuzi wao juu ya mambo mbali mbali ya utakaso wa Kiibada. Amefanya hivyo kwa kunukuu aya za Qur’ani Tukufu na Hadithi zihusikazo - Hadithi za Mtukufu Mtume (s.a.w.w.) na Maimamu wa Ahlul~Bayt (a.s.). Sura ya mwisho ya kitabu hiki humpeleka msomaji katika utangulizi wa safari ya ulimwengu wa kiroho wa Kiislamu. Mwandishi anamwongoza msomaji katika safari hii kwa kuhusisha mambo mbali mbali ya utohara wa kiibada na utakaso wa kiroho. Kwa hakika itabadili namna unavyofikiria juu ya utohara wa kiibada wa Kiislamu. Kitabu hiki The Ritual & Spiritual Purity kimekuwa maarufu katika ulimwengu nzima na kuchapishwa na Tasisi mbali mbali za Kanada, Iran na India na vile vile kimetafsiriwa katika lugha ya Ki-Urdu, Ki-Hindi, Ki-Fransa na Ki-Spanish.