Ahlul_Bayt
Ahlul_Bayt
Author :
Publisher :
Publication year :
2013
Publish location :
MOMBASA (KENYA)
(0 Kura)
(0 Kura)
Ahlul_Bayt
Hiki ni kitabu chectu cha pili, baada ya kile cha Hadith al-Thaqalayn: Hadith Sahihi, tunachokitoa katika mfululizo wa vitabu vyetu kadha kuyajibu aliyoyaandika Sheikh Juma Mohammad Al-Mazrui katika kitabu chake alichokiita Al-Qistasu Al-Mustaqim: Mezani ya Haki.
Katika kitabu hiki tunayajibu yake alivyoyaandika Shekhe wetu huyo katika Sura ya Tatu na ya Nne ya kitabu chake hicho (uk. 43-114) ya kudai kwamba muradi wa neno ahlul bayt katika Sura 33:33 ni “wake wa Mtume (s.a.w.w.)” si “ahlul kisaa”, kama tulivyoshikilia sisi mashia bali na jumhur ya wanavyuoni wa Kisunni. Tumeanza kwa kutoa hujja zetu za kuthubutisha msimamo wetu, na kumalizia kwa kujibu hujja zake zote alizozitoa kukatalia hujja zetu.