IMAM AL-MAHDI

IMAM AL-MAHDI

IMAM AL-MAHDI

Interpreter :

Mohammad Said Kanju

Number of volumes :

2000

Publish number :

Toleo ya kwanza

Publish location :

Dar es Salaam, Tanzania

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

IMAM AL-MAHDI

Tunamshukuru Allah (s.w.t.) na kwa Baraka za Mtukufu Mtume (s.a.w.w.) na Watukufu Ahlul~Bait (a.s.) kwa kutujaalia kuweza kufanikisha juhudi zetu hizi katika kuchapisha kitabu hiki “Imam Al-Mehdi (a.t.f.).” Kitabu kilichopo mikononi mwako ni tafsiri ya moja ya ma’andishi vya Hujjatul Islam wal Muslimeen Sayyid Muhammad Rizvi, na kimetafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili na Dr. Muhammad Said Kanju, kutoka asili yake ya lugha ya Kiingereza. Bilal Muslim Mission inatoa shukurani zake za dhati kwa wale wote ambao wameshiriki kwa njia moja au nyingine katika kukamilisha kitabu hiki na hivi sasa kipo mikononi mwa wasomaji wetu. Tunamuomba Allah (s.w.t.) awalipe malipo mema hapa Duniani na baadaye huko, Akhera.