Imamate_Makamu_wa_Mtume

Imamate_Makamu_wa_Mtume

Imamate_Makamu_wa_Mtume

Publication year :

2020

Publish location :

Tanzania Dar es salaam

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Imamate_Makamu_wa_Mtume

Kitabu hiki ni tafsiri ya kitabu kiitwacho Imamat ambacho ni sehemu ya Saba (Unit 7) ya “Islamic Correspondence Course”, kozi iliyotayarishwa kwa ajili ya wanafunzi wa shule za Sekondari (kuanzia kidato cha 4 kwenda juu). Kitabu hiki kinazungumzia juu ya maudhui iliyo asili ya tofauti zote zilizoko kwenye ulimwengu wa Kiislamu. Nimejaribu kuyaeleza maoni ya Madhehebu zote mbili (Shia na Sunni) na kisha nikatoa maoni ya ujumla ya maudhui hii. Nilipokuwa nikilizungumzia tukio la Ghadir Khum, nimeyataja majina ya baadhi ya wahadithiaji wa tukio hili tangu kwa masahaba wa Mtukufu Mtume (s.a.w.w.) na Wafuasi (Tabi‘in) wao. Vilevile vitabu Sura ya 12-15 (zinazoihusu.....