MAISHA YA MTUKUFU MTUME MUHAMMAD (S.A.W.A)

MAISHA YA MTUKUFU MTUME MUHAMMAD (S.A.W.A)

MAISHA YA MTUKUFU MTUME MUHAMMAD (S.A.W.A)

Publication year :

2007

Publish location :

Dar es Salaam Tanzania

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

MAISHA YA MTUKUFU MTUME MUHAMMAD (S.A.W.A)

Kitabu kilichopo mikononi mwakon ni tafsiri ya moja ya maandishi ya Allamah Sayyid Saeed Akhtar Rizvi (r.a.). Kitabu hiki kimekuwa maarufu katika ulimwengu wa Ki-Islamu na kimetafsiriwa na kuchapishwa na Taasisi mbali mbali. Sababu iliyoifanya Bilal Muslim Mission isimamie kazi hii ni kama zile za mwanzo, ambayo inatokana na maombi ya watu wengi kutoka Afrika ya Mashriki kututaka tuchapishe Kitabu hiki kwa lugha ya Kiswahili. Hii ilitufanya tutafsiri na kuchapisha kitabu hiki ili watu wazungumzao kiswahili waweze kuelewa na kufahamu zaidi juu ya suala hili la maisha ya Mtukufu Mtume (s.a.w.a.).
Bilal Muslim Mission inatoa shukurani zake za dhati kwa mfasiri wa kitabu hiki Maalim Dhikiri U.M. Kiondo na wale wote ambao kwa juhudi zao toleo hili la pili la kitabu hiki kinawafikia wasomaji wetu mikononi mwao na wale wote wanaotuunga mkono kwa njia moja au nyingine katika kazi zetu za Tabligh, Tunamuomba Allah (s.w.t.) awalipe malipo mema hapa Duniani na baadaye huko, Akhera.