MWENGE WA UKWELI IMAM JAAFAR AS-SADIQ( A.S)
MWENGE WA UKWELI IMAM JAAFAR AS-SADIQ( A.S)
Author :
Interpreter :
Publisher :
Publication year :
1986
Number of volumes :
20000
Publish number :
Toleo la kwanza
Publish location :
Dar es Salaam - Tanzania
(0 Kura)
(0 Kura)
MWENGE WA UKWELI IMAM JAAFAR AS-SADIQ( A.S)
Kitabu hiki kiliandikwa kwa lugha ya Urdu na Mtukufu Saiyadul Ulama Maulana Sayyid Ali Naqi Saheb, Mujtahid wa Chuo Kikuu cha Lucknow, Uhindi. Kimetafisirwa kwa lugha ya Kiingereza na Sayyid Hashim Raza Rizvi, B.A., B.T., Yadgar-e-Husaini, H.S., Allahabad, Uhindi, na kutolewa na Imamia Mission, Lucknow, U.P., Uhindi. Kimetafsiriwa kwa lugha ya Kiswahiii kutoka hiyo tafsiri ya Kiingereza na Marehemu Bwana L.W. Hamisi Kitumboy (aliyekuwa Muballighi Mkaguzi wetu) na kikachekiwa na kusahihishwa na Mwalimu Dhikiri (Zakir Ali) U.M. Kiondo, Edita wa "Sauti ya Bilal".