UADILIFU, AMANI NA MTUME MUHAMMAD

UADILIFU, AMANI NA MTUME MUHAMMAD

UADILIFU, AMANI NA MTUME MUHAMMAD

Publish number :

Toleo la  kwanza

Publish location :

Dar es Salaam, Tanzania

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

UADILIFU, AMANI NA MTUME MUHAMMAD

Kijitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya Kiswahihi kutoka Kiingereza. Ni tafsiri pana ya khutba iliyotolewa na mmoja wa wanachuoni wetu mashuhuri wa Kiislamu Sayyid Muhammad Rizvi, katika Bunge la Canada, Ottowa tarehe 20 Septemba, 2006 katika lugha ya Kiingereza. Tarjuma yake inatolewa hapa kwa faida ya ndugu zetu wazungamzaji wa Kiswhili wa Afrika ya Mashariki na pengine popote. Sayyid Muhammad Rizvi kwa ufupi hapa anaelezea kuhusu Mtume Muhammad, uadilifu na amani katika muktadha wake wa Kiislamu. Kwa hakika wasomaji wasio na upendeleo watafaidika kutokana na toleo hili. Tunawashukuru wale wote ambao kwa njia moja au nyingine wamechangia katika utoaji wa tarjuma hii ya Kiswahili ambayo inawasilishwa hapa.