Hijabu

Hijabu

Hijabu

Publication year :

1980

Publish location :

Tanzania Dar es salaam

(0 Kura)

QRCode

(0 Kura)

Hijabu

Kitabu ulichonacho mikononi mwako ni tarjumi ya kitabu cha Kiingereza kiitwacho, Hijab (The Dress of Modesty in Islam), kilichoandikwa na Sayyid Saeed Akhtar Rizvi. Semehu ya kwanza ni maandishi ya hotuba iliyotolewa na mwandishi katika Semina ya nane ya “Golden Crescent Group” iliyofanyika mjini Lushoto mnamo tarehe 22/10/1977 Sehemu hii ilitafsiriwa kwa Lugha ya Kiswahili na (marehemu) Maalim Dhikiri U. M. Kiondo na kuchapishwa mara kadhaa (kuanzia mwaka 1980) na Bilal Muslim Mission of Tanzania.